Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Adolf Mkenda amesema uzinduzi Sera ya Elimu na Mafunzo ya Mwaka 2014, Toleo la ...
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati,Dk. Doto Biteko Januari 10, 2025 amesema kuwa ukuaji wa uchumi wa nchi yoyote unategemea upatikanaji wa nishati ya uhakika na yenye gharama nafuu.